naamini kwenye hili la mkataba wa uendeshaji wa huduma za bandari ya Tanzania na DP world una manufaa makubwa kwa nchi licha ya kuwa na mapungufu mengi na propaganda za kisiasa kuhusu mkataba huu ni maoni yangu serikali kupitia mwanasheria mkuu wa serikali liandaliwe jopo la wanasheria kufanya...
Habari wana JF
Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za kikodi na ushuru ambazo zinawavunja moyo wawekezaji na wafanyabiashashara wengi kupelekea kudorora...
Tayari nimeshaweka andiko langu
1) sera za kodi ba ushuru zinavyozoretesha ukuaji wa uchumi
2) Mitaala ya elimu ni chanzo cha vijana wengi kuwa maskini
Naombeni ushiriki wenu kwenye mijada hii km umeipenda naomba kura yako
Habari wanaJF,
Napenda kushiriki nanyi kwenyw mjadala huu wa elimu "Mitaala ya elimu ni chanzo cha vijana wengi kuwa maskini"
Mitaala ya elimu ya Tanzania haimuandai kijana kuingia kwenye soko la kujiajiri ilihali serikali haina uwezo wa kuwaajiri wahitimu wote kwenye soko la ajira
Elimu yetu...
Habari wana JF
Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za kikodi na ushuru ambazo zinawavunja moyo wawekezaji na wafanyabiashashara wengi kupelekea kudorora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.