Habari!
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu...nnaishi na huyu mwanamke kama mke na mme kwa zaid ya mwaka sasa bila kufaham/kunambia kua ana mtoto mwenye miaka 9, taratibu za kujitambulisha kwao pamoja na kulipa sehem ya mahali zishafanyika, kilichobaki n ndo tu...luckly, tulibahatika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.