Recent content by Ikitotanzila

  1. I

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Duh. Zis English is illuminating, irritating, nincompoop, uncooth, taiwanianation, americation, hypppopotamasing etc
  2. I

    JamiiForums Tanzania Ama tuwe na Wizara ya Uchumi au NW wa Fedha anayeshughulilia Uchumi. Mtaani hali ni tete

    Kwa hiyo furaha yako ilikuwa kwamba mabank yasitengeneze faida kabisa ili uridhike kwamba hakuna pesa chafu. Kwa hiyo indicator ya kutokuwa na fedha chafu ni mabank kutokuwa na faida? Hizi akili hizi. Rudisha panga alani mwako ndugu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ama tuwe na Wizara ya Uchumi au NW wa Fedha anayeshughulilia Uchumi. Mtaani hali ni tete

    Kwahiyo furaha yako ni kuwa mabank yasiwe na faida yoyote ili ukljiridhishe kwamba hakuna money laundering? Hizi akili hizi sijui
  4. I

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

    Kipindi Cha jpm investments nyingi zilifungasha vilago kwa sabau ya Kodi nyingi na purchasing power kupunguza kwa sababu mzunguko wa pesa ulipotea. Nilienda kule bagamoyo viwanda vyote vya wahindi vya chumi vilifunga biashara kwa Sasa ndo vimerudi hiki kipindi. Biashara kibao zilifunga mfano...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

    Nani kakwambia uchumi wa Tanzania umedorola. Au mfukoni kwako ndo pamedorola. Nenda Arusha na kwingineko uone jinsi utalii ulivyoshamili na watu wanachapa kazi. Nenda kwenye mabank uone jinsi watu wanavyofanya transactions za mamilions. Nenda mashambani uone jinsi wakulima wanavyofurahia awamu...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo wanalima mazao ya biashara Kama korosho, mbaazi, na tumbaku wanasema mama aongoze hii nchi till she dies

    Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa. Wanasema mama for presidency forever
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli ndio hasara kubwa pekee Tanzania imepata toka Uhuru

    Jpm aliua wafuatao: Maalim seif Ben saanane Azory gwanda Ben mkapa n.k Alitaka kumuua hata jk Ila kangi lugola akalikisha issue nzima ndo Mana akatumbuliwa fasta. Yule Jana alikuwa ni zaidi ya shetani kifo chake mi nilimaliza creti ya bia kwa furaha Mana shetani ameondoka duniani na Sasa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma mna akili finyu, acheni kazi sisi tutazifanya kama mshahara hautoshi

    A Acha ajira . Kwani umelazimishwa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    Acheni uzwazwa nyie wafanyakazi. Kama mishahara haiwatoshi acheni kazi. Kwani lazima muajiliwe na serikali?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi navyoona, naona mama apumzike 2025 kulinda heshima yake

    Mi Mi nazungumzia masoko ambayo kwa Sasa ni ya uhakika na tunaweza kubreak even. Wakati wa jpm aliua masoko yote
  11. I

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi navyoona, naona mama apumzike 2025 kulinda heshima yake

    soko la uhakika lipo licha ya yote hayo. Jpm aliua masoko yote ikabaki korosho zinachomwa tu na kuzamishwa baharini na wanajeshi
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi navyoona, naona mama apumzike 2025 kulinda heshima yake

    Acha kutuaminsha uongo. Wakulima wanaenjoy Sasa hivi. Jpm aliharibu mazao yote mbaazi, korosho, tumbaku. Kwa Sasa siko ni la uhakika. Sisi wakulima mama anatufaa Sana. Pili wafanyabiasha huwaambii kitu kwa mama mana hakuna anyevamua accounts zao Tena na biashara ni nzuri Sana. Nyie wafanya kazi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mishahara inatengenezwa kwa hesabu za kifinance na kiaccounta cy siyo hesabu za kichumi. Huyo Mwigullu Nchemba mtamuonea bure tu!

    Mkuu mbona zimejaa mtaani. Acha kuajiliwa ujiajilo utaziona
  14. I

    JamiiForums Tanzania Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

    Ahadi za uongo chini ya jpm zilikuwa nyingi Sana. Alitwambia ameajiri walimu kumbe hakuna Alitwambia hakopi kumbe ndo mkopaji namba moja nk. Jamaa aliendesha nchi kwa uongo uongo.
  15. I

    JamiiForums Tanzania Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

    Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe. Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki...
Back
Top Bottom