Recent content by Ikinda

  1. Ikinda

    JamiiForums Tanzania Msaada:Anadai amepata unabii kuwa mimi ni mtu mbaya sana na simpendi nataka kumharibia maisha

    nimeishajifunza mkuu sitarudia tena.
  2. Ikinda

    JamiiForums Tanzania Msaada:Anadai amepata unabii kuwa mimi ni mtu mbaya sana na simpendi nataka kumharibia maisha

    maumivu yanatosha mkuu tena petrol si nitafia jela!
  3. Ikinda

    JamiiForums Tanzania Msaada:Anadai amepata unabii kuwa mimi ni mtu mbaya sana na simpendi nataka kumharibia maisha

    nitakuja mkuu,nikifika tu nitakutafuta
  4. Ikinda

    JamiiForums Tanzania Msaada:Anadai amepata unabii kuwa mimi ni mtu mbaya sana na simpendi nataka kumharibia maisha

    kwani kuna wachungaji wanakula kondoo kabisa
  5. Ikinda

    JamiiForums Tanzania Msaada:Anadai amepata unabii kuwa mimi ni mtu mbaya sana na simpendi nataka kumharibia maisha

    kweli naamini MUNGU hakunileta duniani niishi haya bali naamini nipito tu na nitavuka amina hata mm naamini hivyo.
  6. Ikinda

    JamiiForums Tanzania Msaada:Anadai amepata unabii kuwa mimi ni mtu mbaya sana na simpendi nataka kumharibia maisha

    kweli naamini MUNGU hakunileta duniani niishi haya bali naamini nipito tu na nitavuka
  7. Ikinda

    JamiiForums Tanzania Msaada:Anadai amepata unabii kuwa mimi ni mtu mbaya sana na simpendi nataka kumharibia maisha

    ahsante mkuu,nina hakika labda haikuwa haki yangu.
  8. Ikinda

    JamiiForums Tanzania Msaada:Anadai amepata unabii kuwa mimi ni mtu mbaya sana na simpendi nataka kumharibia maisha

    Hakika mkuu umesema mazito sana,mm niliona kama nimefika kumbe nilikuwa cjafika bado,japo pindi nakua mama yetu alitwambia mwanamke hapigwi maana siku nazaliwa Naambiwa baba yangu alipata ajari akafariki so nimekuwa na mama tu,ila kwa hili ni shule tosha mkuu ulilonipa,ahsante sana
Back
Top Bottom