Hii ni kweli tukae tuangalie kwa makinI WHAT ARE HIS ACHIEVEMENTS Tulimteuwa kwa sababu gani hali za wnanchi hazijabadilika hata kidogo, Watanzania wajiulize kila mmoja Je kuna lolote limebadilika kwa mtanzania wa kawaida? Au ni criteria gani itatumika kumpigia kura huyu bwana mkubwa ...
Mjengwa Kikwete is abig time manipulator huu sio wakati wa kutumia sura kupata kura, wakati kikwete alipochaguliwa kuwa rais alitembelea hospitali ya Muhimbili kuonyesha he is down to earth watu wakasema yes huyu ndio kweli raisi hawakujua ni mswahili na mjanja anajua watanzania majority...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.