Pole sana kiongozi wangu mteule Mh.Magufuli,
kazi iliyombele yako ni mlima wa Kilimanjaro, ni sawa na kutengeneza mkaa, kwa kuchoma majani ya mgomba.
Ushauri wangu kwako,Usisite kukaa na viongozi wa Ukawa, mpunguze tofauti zenu, si ajabu wana kundi kubwa la malofa ,walio nyuma yao ,ambayo ndiyo...
Nimekereheka sana na Star Tv,kituo nilichokua nikikipenda na kukishabikia,kumbe silolote,kimesheheni ushabiki usiopata kuelezeka unaoweza kuleta kutoelewana.Nilitegemea vijana wao wangejifunza kutoka watangazaji wa BBC,Channel Ten,ITV na Azam TV (japokua unapatikana kwa shida huku kwetu).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.