Recent content by igelango

  1. I

    JamiiForums Tanzania Lead Generator-NBC

    ya nikwel ilikuwa deadline tarehe tano lkn wale wa mwanzo walishaitwa nakufanya enterview tayar
  2. I

    JamiiForums Tanzania Lead Generator-NBC

    Jamani wadau mwenye habari kuhusu ile written enterview tulofanya jumanne pale NBC Makao makuu ya lead generator atujuze kama matokeo yametoka na kama watu wameitwa tayar maana apa pressure tu. Msaada tafadhal.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

    iyo web so yao ni YAP nyingine inashughulikia watoto, ao ni wazushi ndugu yang maana toka jana tunatafuta lakini hatuoni makao makuu yao apa stone city zanzibar, watu gani hata namba za mawasiliano hawana unawapata vp..?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

    Yaan imenisumbua sana pia.wamenitumia email tarehe 29 nkataka kuwatumia hela lkn roho ikasita. Najaribu kuangalia google hata website hakuna ayo makao makuu zanzibar hata ofic hakuna, ni uzushi tu
Back
Top Bottom