Recent content by Ifiki

  1. I

    Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

    Naunga mkono na mguu hoja. Tunachohitaji ni kombe. Maximo hakuletwa hapa kucheza filamu, mafanikio ya mechi 1 au 2 haitoshi. Ubora wa kocha huonyeshwa na vikombe alivyowahi kuchukua. Tunasubiri kwa hamu sana hilo kombe, asipokuja nalo atapigiwa kelele tu. Naomba kuwasilisha mchango wangu.
Back
Top Bottom