Recent content by Idugunde

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila ya aibu mashabiki wa Afcon watatumia barabara ya Katesh Manyara to Singida huku Makonda akiendesha magarinya kifahari?

    Makonda anaendesha magari mpaka ya bil 1.7 huku akijinasibu kupambania michezo na timu ya taifa ambayo jezi zake zina kiwango hafifu kama za friends corner ya Manzese. Anapambana kiwanja cha Arusha kikamilike kwa wakati. Vipi kuhush miundo mbinu? Babati kupitia Katesh mpaka roundabaout ya...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna nini jijini Arusha magari ya delaya na askari wametapakaa mitaani?

    Kuna hatari gani kwenye hili jiji? Askari wametapakaa kila kona. Magari ya delaya yanazunguka mji mzima. Mimi nikiwa mgeni nimepata hofu kubwa sana.
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    We huo mkataba umeusoma?
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sandaland kuongea na wanahabari kesho. Ni kuhusu Makonda kuingilia mkataba halali na TFF

    Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi. Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Hao gen z wa Jkt hawana uwezo wa kupambana na nguvu ya umma. Kinachokusumbua wese ni ushoga wa kuliwa nyuma.
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Muwe mnakaa kimya sio kudakia mambo yaliyo nje ya uwezo wenu.
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Watafanya nini? Waandamanaji wanatafuta silaha maana Oktoba 29 walikosa silaha tu. Hao watoto ambao hata afya zao mbovumbovu watazuia nini?
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Nenda kanyonye acha kusumbua baba zako tupo baa tunajadili mustakabali wa taifa letu.
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    We ni matako. Unadhani Oktoba 29 ni tukio dogo?
Back
Top Bottom