Recent content by idrisouh

  1. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    Mie nina mradi wa kutunza mazingira, natengeneza mkaa unaotokana na taka ngumu. hivyo nimechagua kwenda kujifunza mbinu nzuri na zakisasa za uzaklishakji wa mkaa ili kulinda mazingira. lengo ni kujifunza wenzetu wanatunza vipi mazingira. ahsante.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Jipatie mkaa utokanao na taka ngumu ili tutunze mazingira

    Mimi ni kijana nilie amua kujiajili kwa kuanzisha mradi wa kutengeneza nishati ya mkaa mbadala, mkaa huu unatokana na taka ngumu.Nimeanzisha kiwanda hiki na kushirikisha vijana wenzangu na kutengeneza kikundi jina GREEN POWER GROUP Mkaa huu nimeupatia jina la "MKAA WA IDRIS" kiwanda cha mkaa huu...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    unaweza kuapply hata leo hujachelewa bado.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    amen amen... tusaidane kusambaza ujumbe tafadhari
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    hahaha wengine huwa tuna soma ya hum tu.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    hapana sio hivo brother, ingia twitter search @mr_mkaa96 utapata uhakika.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    thank you brother.. pls help me to shre this information to our fellow Tanzanians
  8. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    hapana sio hivo. kwa uhakika zaidi ingia twitter search @mr_mkaa96 utathibitisha nachokiongea. ahsante
  9. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    ahsante sana mkuu
  10. I

    JamiiForums Tanzania Naiwakilisha Tanzania kwenye shindano la kimataifa

    Naliwakilisha Taifa kwenye shindano la kuizunguka dunia kwaajili ya kujifunza mambo yakimaendeleo na mazingira. mshindi kutoka bara la Africa ataungana na wenzie kwa miezi 5 kuizunguka dunia. nipo pekeyangu katka shindano hili. #faces2hearts gusa link chini kunipigia kura ili niweze kushinda...
Back
Top Bottom