Recent content by iddy abou clauz

  1. iddy abou clauz

    JamiiForums Tanzania Nyanya imekuwa bidhaa adimu Tanzania sababu ni waarabu kununua mashambani na kusafirisha nje

    kwahyo unataka kusema watu wa nnje ya nchi wakija kununua mazao nchini hatunufaiki? mbna kama hatujakuelewa vile
  2. iddy abou clauz

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazao ya chakula yasiuzwe nje ya Nchi, hali ni mbaya sana. Serikali zuieni haraka

    Jitafakari kabla hujasema jambo, wakulima wanaumia sana bei za soko la ndani ya nchi ni ndogo sana ndomana wanauza nnje. kama mnataka mazao yasiuzwe nnje nunueni kwa bei kama ya nnje ya nchi
  3. iddy abou clauz

    JamiiForums Tanzania Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    hawakui wapi? umetembea mkoa upi na upi kufanya research zako?
Back
Top Bottom