Recent content by ichoboy01

  1. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 tumefikaje
  2. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    once again 😆😆😆😆😆 730b za elnino ni jua zimeisha sasa tunaenda another scandal https://www.instagram.com/reel/DfCJ-yzC0oj/?dlrf=MTRkd2g2djJ0aXFseg==
  3. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    what ever but nijibu sasa tumefikaje mpaka kua nchi ya 6 kwa umaskini duniani nchi ambayo imejaaliwa kila kitu kwenye uso wa dunia
  4. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    rudia swali niliokuuliza 2015 to 2021 tuliwezaje kupunguza matumizi ya import ya sugar na kutoka 2021 mpaka 2026 ikawaje tukashindwa kudhibiti importation ya sukari very simple questions au 2015 to 2021 tuliogozwa na malaika na sio binaadamu naomba majibu plz
  5. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    hapa tumefikaje to this stage nchi imekopa 51 trillions in 5 years 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 https://www.facebook.com/share/1F4sn1vVR1/?mibextid=wwXIfr
  6. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    what ever ila nijibu kua huku tuliingia lini ??? na ilikuaje tukafika hapa
  7. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    swali langu huwezi lijibu kwasababu ya rushwa na ukiritimba ulojaa 😆😆😆😆😆
  8. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    adui ni pale unapokosoa ila kudsifia uongo ni uchawa unakua mtu safi 😆😆😆😆😆
  9. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    😆😆😆😆😆😆 hii tumeingia lini?? https://www.instagram.com/p/Deq-Kj0jVmw/?dlrf=aXowZHY0MnVqbDh3 https://www.instagram.com/p/Deqhe-YMZir/?obrf=aDExbHc0dm1hamJ3
  10. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    narudi kukuuliza swali ni strategics gani so far zimepungusa matumizi ya kuagiza sukari kutoka nje ya nchi ??? kama tulivoona kipindi cha kutoka 2015 to 2021 tuliona uagizaji umepungua na unasimamia
  11. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    ipi ilikua startegics ya kupunguza uagizaji wa sukari toka 2021 mpaka leo 2026 mpaka leo tumepunguza kuagiza sukari nje au tumeongeza???
  12. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://www.instagram.com/reel/DertF-ajW-F/?mdxt=MWIzdjIzbTJwaXk1NA==
  13. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    atleast kuna mambo sikuyajua, sikuwah kujua kua marcopolo zote nchini zinatoka AVA kenya badala yake nilijua zinatoka south africa, tanzania leo nchi ya 6 kwa umaskini duniani tumefikaje hapo mm sijui waulize machawa majibu wanayo kuna mambo mengi sana tumerudi nyuma ikiwemo mpaka below poverty...
  14. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    kwakua yanayofanyika nchini ww huyaoni au unafkiri watu wamezibwa macho, so nikikosoa inageuka kua muasi? penye kusifia i will na penye kukosea i will
  15. ichoboy01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    mm sio chawa ni mtu nilionyooka, if its white nitakwambia hii ni white na if its black i will tell u the same way, hakuna awamu iliwanyima wakenya raha kama awamu ya magufuli hata nyinyi munakiri kuhusu yule mtu
Back
Top Bottom