Recent content by ic cute

  1. I

    Tamko Rasmi Chadema Juu ya Tukio la 15.06.13

    Chadema mnazidi kutukatisha tamaa.yaani mnathubutu kutulupua kisha mnajifanya kuongoza mazishi.hayo ndio mafunzo mliyopewa na CDU ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifai?shame on you!
  2. I

    Sasa ni dhahiri - Amani ya Tanzania iko mikononi mwa CHADEMA!

    Kila atakae chezea amani yetu alaaniwe na adhibitiwe na vyombo vya ulinzi na usalama.police msimwonee mtu yeyote ila atakae jifanya kimvelembele kuketa uchochezi wenye kengo la kuleta machafuko adhibitiwe bila huruma.Pia nashauri kuwaadabisha vinara wa uchochezi kama hao wabunge...
  3. I

    Sasa ni dhahiri - Amani ya Tanzania iko mikononi mwa CHADEMA!

    We unawadanganya wenzio. Hili genge la wahuni wenye nia ya kuleta machafuko ni lazima wadhibitiwe.nashauri lipelekwe jeshi kamili ili watie adabu kama walivyowafanya wamakonde.
  4. I

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Kuanzia sasa tutawaliwe kidikteta ili walau tuwe na nidham,maana jakaya alikuwa kazidi kucheka .alitupa uhuru tuishi tutakavyo lkn tunautumia vibaya .nazikumbuka sana enzi za mzee mkapa ambapo hakuwa anataka mchecheto kama unavyofanywa sasa kiasi cha kumwona Rais wa nchi kama mshikaji .Lkn sasa...
  5. I

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Tatizo kubwa polisi wa Tanzania wanamwogopa Lema na Mbowe. Nashauri jeshi litumike kuwadambaratisha waasi kama lilivyo fanya mtwara.vinginevyo mtasema nchi haina utawala na serikali ni dhaifu.Mikutano ya kutafuta umaarufu wa kisiasa ipigwe marufuku na kila atakaejaribu kuchezea serikali...
Back
Top Bottom