kwanini tunafanya biashara?
Mfanya biashra ambae hufanikiwa ni mfanya biashara ambaye huanzisha biashara akiwa amejiwekea malengo yake binafsi. Malengo aliyojiwekea mfanya biashara ndicho kitu pekee kitakacho mfanya au kitakachoonyesha kuwa mfanya biashara huyo amefanikiwa atafanikiwa. Ni kweli...
Wazo la kibiashara ni nini?
Mawazo ya kibiashara ni mawazo aliyo nayo mfanyabiashara au mtu yoyote kunilngana na mtazamo wake juu ya biashara na biashara anayotaka kuifanya. Mawazo ya kibiashara ni mawazo alio nayo mtu kuhusu ni aina gani ya biashara anataka kuifanya wapi na ni kwa nini. Wazo...
1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa?
2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo?
3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
BIASHARA
Biashara ni nini?
Biashara ni makubaliano ambayo hufanyika bayana ya pande kuu mbili, muuzaji na mnunuzi, amabapo makubaliano hayo hufanyika juu ya bidhaa au huduma anayo itoa muuzaji. Makubaliano hayo pia hujumuisha thamani ya bidhaa au huduma hiyo. Au
Biashara ni kitendo cha kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.