Wakuu naombeni msaada hapa,ninataka kuomba uhamisho kutoka chuo cha private kwenda cha government, kwa diploma, inawezekana?? Na pia nikishaomba uhamisho nitakwenda kuripoti chuo nilichopangiwa au ninakaa nyumbani nikisubiri uhamisho??.naombeni nisaidieni hapa wakuu,
Naombeni kueleweshwa,NACTE kwenye profile yangu wameniambia nimechaguliwa arusha university kwa diploma,sasa naangalia majina ya waliochaguliwa pale sijioni mimi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.