Recent content by Ibraheim

  1. Ibraheim

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Habari wana JF mwenye elimu ya kutosha juu ya kilimo cha vitunguu swaumu na mikoa yake yanayolima hivyo vitunguu swaumu..nahitaji elimu juu ya kilimo hiko...kwa mwenye elimu hiyo tafadhari naomba anijuze... Mawasiliano:0714852712
  2. Ibraheim

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Kiongozi naweza pata mawasiliano yako..
  3. Ibraheim

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Habari wana JF nimeweza kujiunga humu kuweza kupata elimu ya kujifunza juu ya hatua za ulimaji wa vitunguu swaumu na maeneo husika yanayolima vitunguu swaumu...me napatikana mkoa wa dar es salaam.. 0714_852712 namba zangu za simu kwa atakayeweza kunielezea kiundani zaidi plz wana JF..
Back
Top Bottom