Tata magali yenu ni mazuli ila kwa uzoefu wangu magali ya tata yana udhaifu wa injini ndogo bodi kubwa matokeo take yanakosa nguvu,nafikili walitaka kupunguza ulaji wa mafuta, coasta,fuso,scania n.k wameweka injini kubwa kuipa gali nguvu na bado ulaji wa mafuta ni mdogo,wahandisi wa tata bado...