Recent content by Ibra ruge chabenzi

  1. Ibra ruge chabenzi

    Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

    Kama umeoa basi nadhani mke wako ni mchafu sio mstaarabu,mna ugomvi na mke wako wa mara Kwa mara,una mambo ndoto nyingi za kukamilisha lakini unashindwa kwasababu Haina uwezo,maisha yako yaweza kuwa ni mazuri lakini unamiss baadhi ya vitu unavyovihitaji,Haujiamini. Hakikisha usiwe na mpenzi...
  2. Ibra ruge chabenzi

    Nachukua mkopo CRDB nianze biashara ya nafaka(mpunga na mahindi)

    Wadau Mimi ni mtumishi wa afya, mshahara wangu unaniruhusu kukopa mil 15. Nataka nikope mil 15 niwe nakatwa kwenye mshahara Kwa miaka sita, Nichukie mil 10 niingie kwenye mpunga na mahindi. Silimi nafuata Kwa wakulima naweka store. Nasubiri yapande niuze wakati mkopo unakatwa kwenye...
  3. Ibra ruge chabenzi

    Zipi changamoto za biashara ya daladala aina ya coaster au hiace?

    Niko Mwanza na Nina wazo kama la kwako,To be honest mi ni mtumishi wa umma lakini Huwa naamini sana katika biashara ya hiace. Nimeamua kuchukua mil 15 ninunue used hapa hapa Mwanza, niupgrade driving licence yangu Ili nikiinunua niiendeshe mwenyewe Kwa muda usiopungua miezi mitatu, konda...
Back
Top Bottom