TANZANIA YANGU
1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake..✍🏻
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...✍🏻
3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona...
MAFANIKIO
KAMA ilivyo ada kila mtu anahitaji kuwa na mafanikio katika maisha yake. Vivyohivyo hata mimi ninatamani kuwa miongoni mwao.
Swali la kujiuliza ni kwanini tuliowengi hatufanikiwi na wachache kati yetu ndio hufanikiwa? Inakupasa kujiuliza kwa makini nini ufanye ili na wewe ufanikiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.