Recent content by Ibnalawi

  1. Ibnalawi

    JamiiForums Tanzania Kutumia dawa ya kisunnah habat soda je ina madhara?

    Habat sauda sio chungu hata kidogo hiyo haikuwa habat souda
  2. Ibnalawi

    JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi

    Kwa asali pure elfu 11 hailipi hata kidogo kwa kuzingatia bei ya asali vibali na usafiri
  3. Ibnalawi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza asali mbichi kutoka Tabora

    Hapana haina masega lakini ni pure kabisa yaa unaweza kutest kwa kiberoti au nikakuonjesha kabla ya kufanya malipo
  4. Ibnalawi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza asali mbichi kutoka Tabora

    Tunauza asali mbichi kutoka Tabora Asali yetu ni original kabisa haijachakachuliwa hata kidogo Kuthibitisha hilo unaruhusiwa kutest mpaka ukijiridhishe ndipo unafanya malipo Kwawale ambao wanashindwa kutofautisha kati ya asali mbichi na iliyopikwa tutawaelekeza Bei zetu ni kama zifuatazo...
  5. Ibnalawi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji asali kwa wingi, anayeuza tuwasiliane

    Nina debe 6 nipo K/Nyama Alimau 'B' Kinondoni Dar es Salaam
Back
Top Bottom