Recent content by Ibn ngeke

  1. I

    Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

    Miongoni mwa njia za kutafuta hizo pesa ni kukiuza kitabu hata kama hazotokuwa pesa nyingi sana
  2. I

    Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

    M Miongoni mwa njia za kujikwamua ni hii pia ya kukiuza na inatupa funzo kuwa unaweza kuandaa kazi na huna pesa ukaiuza ikawa ndio kujikwamua kwako huko
  3. I

    Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

    Asante tatizo ni changamoto iliyojitokeza vinginevyo nisingetaka kufanya hivyo
  4. I

    Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

    Nayafanyia kazi ndugu tatzo ni kuwa kuna changamoto nyingine ya kimaisha inayohitaj pesa ya haraka wakati nafanyia kazi yaliyomo
  5. I

    Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

    Asante nayatumia lkn nina changamoto nyingine inayonilazimu nipate pesa niweze kuitatua kwa haraka
  6. I

    Nataka niuze kitabu changu cha ujasiriamali

    Wanajamvi naomba ushauri, nimeandaa kitabu kidogo cha ujasiriamali lakini sina pesa ya kukichapisha na kukisambaza.
Back
Top Bottom