Recent content by Ibn Mubarak

  1. I

    JamiiForums Tanzania Waraka wa serikali wa viwango vya posho kwa watumishi wa umma

    Oya uliupata? Nausaka kinyamaa
  2. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu House allowance

    Kwa mujibu wa sheria familia ya mtumishi ni wategemezi wake anaweza kuwa mzazi au mtoto au mke au wote
  3. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu House allowance

    Ndio kupewa huko na familia kila mtu anayo
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu House allowance

    Wakati nauliza hili nilikuwa sijapitia waraka wa hizi ishu, ila baada ya kupitia nimejiridhiwa they still deserve
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu House allowance

    Thanks for beautiful reply
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu House allowance

    Wadau, naomba michango yenu... Je, ni sawa kwa mtumishi wa uma aliyekuwa akipata posho ya nyumba/house allowance kuacha kupewa na taasisi yake kwa kigezo kuwa yupo masomoni nje ya nchi?
Back
Top Bottom