Hizi App zimekuwa ni changamoto kwa jamii hasa unapopata shida ukikopa kwao ujue umejiingiza kwenye mtihani
Moja ya changamoto zinazoikumba jamii au watu wanaokopa ni kulazimishwa kulipa deni kabla ya wakati wake na huwa wanatumia vitisho vingi sana hata ukiwaelewesha juu ya tarehe sahihi ya...
Kuna changamoto kubwa ya barabara inayotoka Mlalo mpaka Lushoto hususani katika kipindi hiki cha mvua barabara zina mashimo makubwa nyingine hazipitiki kabisa kwa sababu ya matope ni wiki ya pili sasa, hili tatizo linasababisha nauli kupanda na wananchi kuto mudu hizo gharama, nauli mwanzo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.