Recent content by Ibn Abdillah6

  1. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    😂😂😂 Unazingua kaka
  2. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Kwamba ni mimba sasa mbona imekuja mstari mmoja?
  3. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Kesho nakaita geto tunafanya hapo hapo kipimo 🤣🤣
  4. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Hapana kwani vipi kaka?
  5. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Vipi tena kaka🤣
  6. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Shukran ndugu yangu
  7. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    🥺🥺🥺
  8. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Kwanini kaka?
  9. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Duuh poaaa kaka ahsante 😓
  10. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Ndio hivyo Broh🤣
  11. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Kwahiyo ndugu yangu mkojo hata ukipita masaa manne ukija kupima taarifa itakayo kuja ni sahihi katika kipimo?
  12. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Iko hivi kaka huyu binti nakaribia kumuoa Mungu akipenda mwezi wa 9, sasa toka nikutane naye (chumbani) ni week 3 na siku zake Sasa anasema hajielewi mwili wake anaona km yuko na dalili za mimba, sasa ndio leo nimefanya kuchukua mkojo wake kupima tujue mbivu na mbichi ili tujue cha kufanya...
  13. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Ahsante kaka maana baadhi ya watu wanasema haufai hata AI ndio jibu lake
  14. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Sawa kaka tufanye sio wake amenipiga 🤣 ila swali langu muhimu je mkojo wa uliokaa zaidi ya masaa manne kwenye chupa unafaa kupima mimba km iko?
  15. Ibn Abdillah6

    Naombeni msaada wenu

    Unamaanisha nini kaka? kua sio mkojo wake?
Back
Top Bottom