Sikuzote ukweli utajitenga na uongo na mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...hao sijui kina Nani unaowataja sijui Ndo wa upasuaji sijui mmed utajua wewe Ila hiyo Tabia ya kusambaza habari za uongo itakutokea puani....kwenye chumba ulikuepo???? Labda kama ndo wewe ulifanyiwa hivyo na unaushaidi...
Fatilia sifa ya hospital ya Rufaa kabla ya wanafunzi kutoka songea hawajaja ilikua na sifa gani na ufananishe na saiv baada ya hao wanafunzi kuamishwa kutoka huko ndio utajua chanzo ni nini??? Unataka kuniambia hapo zamani kulikua Hamna interns na kwanza alisambaza sio interns unataka kuniambia...
Hiyo kufungua id mpya haikuhusu by the way huko whatsapp unapopasema sipajui na ni Kama jinsi mlivyofanya kufungua id mpya ya Mleta amani kusambaza habari za uongo na chuki Ndio lengo lenu mnataka litimie Ndio maana unaonekana kuwa mstari wa mbele kukandamiza Sana bila kufatilia vitu kwa undani...
Na by the way ni kitu kibaya Sana na tena sana cha kushangaza anayeifahamu vizuri hospital ya Rufaa mbeya...kabla ya sasa ni lini mlishawai kusikia hizo tuhuma za rushwa ya ngono....
Afu wewe unaejiita Mwifwa inaonesha unaongelea chuki Ungekua na busara Sana usingeonesha kukubaliana na kilichoandikwa wala kukataa na ungeonesha kuwaachia hao takukuru wafanye kazi yao au wewe ni miongoni mwa watu mnaozijua Sana taarifa hizo za uongo na kutaja majina ya madaktari bingwa ovyo...
Mkijua ndani ya pazia kuna nn hata usingeona kwamba kuna mtu anatetea...na wewe ambaye hautaki kuonesha kutetea ni nani anauhakika wa hayo yaliyotajwa...ulizia kabla wanafunzi hao wa songea hawajaja hapo Rufaa Kama utasikia kuna intern Kama alivyodai aliombwa au kuonekana anaombwa rushwa ya...
Hii habari ni uzushi wa makusudi kabisa. *Watu waliozusha tunawafahamu*. Si Madaktari ila ni wanafunzi wa mwaka wa tano wa udaktari walioko chuo kikuu cha Dar es Salaam waliohamishwa toka Songea.
Wanafunzi hawa walihamishiwa Mbeya na TCU mwaka jana na ikaonesha kiuhalisia hawakuwa wana uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.