Tatizo watanzania hatupend maendeleo ya wenzetu nimeona chuo madenti kibao wananuliwa GARI na vibopa wao watu hamlalamiki , Engineer wa waja kaamua kuwazawadia madogo waliofanya vizuri ili kutimiza ahadi aliyowaahidi wanafunz wake na kwa kutambua ni mwanafunzi kaahidi kuwapa Mafuta mwaka mzima...
Umenena vyema nimesikia mkurugenzi akisema atawajazia Mafuta kila mwezi Lita 40,000 kwa mda wa mwaka mzima , hiyo GARI thaman yake
Hivi ukipewa zawadi nini kinashindikana ukichukua hiyo zawadi ukaiuza ma ukajisomee
shule za WAJA hutoa magari kwa wanafunzi wa form six na form four hupewa ofa ya kusoma bure form five na six sharti apate division one ya saba na zawadi ya GARI huambatana na kupewa Mafuta mwaka mzima pia na kufundishwa hadi kupata lesen mwisho gari hukatiwa Bima kubwa
Shule ya Waja Girls Iliyoko mkoan Geita Jana imefanya maajabu baada ya kuwazawadia wanafunzi wawili, Byera Kabaruka na Edina ambao waliingia katika kumi bora wasichana katika masomo ya sayansi mtihani wa form six 2017, Hafla ya kukabidhi magari ilihudhuliwa na Naibu Katibu Mkuu wizara ya elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.