Apart from kosa aliofanya juzi sikujua haya mengine brother lakini ni dhahiri bado tupo nyuma sana from the modern game
Kosa pekee iliofanyika ni kwamba amecorrect hili kosa mwenyewe Yanga ilibidi itoe statement kuhusu kiongozi wao kama ingemtetea au ingemuadhibu lakini imewapa rungu majirani...
Tukianza kuongelea hawa wawili hakuna linalppingika kwamba ile dream team alietaka johan cryuff ilitimia zaidi na vijana hawa wawilii wakiongozwa na Pep
Lakini tukisema iniesta ni bora kuliko Xavi tutadanganyana Xavi alikua ndio mhimili mkuu na roho ya timu ukizingatia tik tak iliwafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.