Recent content by Iam brave

  1. Iam brave

    JamiiForums Nakukumbuka John G. Kama niliacha kinyongo moyoni mwako nisamehe

    Pole sana..kama ni wewe kweli
  2. Iam brave

    JamiiForums Nakukumbuka John G. Kama niliacha kinyongo moyoni mwako nisamehe

    Comment mbili mbili Hujalzimishwa uingie.kama zinakuchosha unapita tu
  3. Iam brave

    JamiiForums Nakukumbuka John G. Kama niliacha kinyongo moyoni mwako nisamehe

    Uliniona nkiwa natinduliwa mfululizo ama umejiskia kutukana leo
  4. Iam brave

    JamiiForums Nakukumbuka John G. Kama niliacha kinyongo moyoni mwako nisamehe

    Ndo mawazo yenu yanapoishia
  5. Iam brave

    JamiiForums Nakukumbuka John G. Kama niliacha kinyongo moyoni mwako nisamehe

    Ni miaka kumi sasa imepita, kwa Mara ya kwanza tulikutana maeneo ya Buza kwa Lulenge,wote tulikuwa tunaenda chuo maeneo ya mjini city center na wote ndio tulikua mwaka wa kwanza tunaanza. Nlikuwa kwenye siti ya dirishani,ukaingia na kuchagua siti niliyokaa, muda mfupi ukaanza kuniongelesha na...
Back
Top Bottom