Habari ya Uzima wanaJF!
Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali.
✅Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi)
✅Najua vema kutumia kompyuta kwenye program zote.
Naishi DSM, Asanteni sana
Habari za Asubuhi watu wa MUNGU
Naomba kwa aliye kwenye Mchongo wa kazi ambao ni rahisi kuingiza Kibarua mwengine, Tafadhali naomba anivute huko.
Niko kwenye kipindi kigumu ever.
NB: KAZI yoyote halali Niko tayari kuifanya.
Makazi yangu ni DSM
Uzima upo wanaJamvi?
Naomba kwa yeyote aliye tayari, tuungane week ijayo kuzunguka viwandani kutafuta KAZI
Mimi naishi Dar es salaam Sina kazi kwasasa, Nahitaji mwenye nia kama yangu tuunge nguvu twende tukasake Ugali.
Amani iwe Nanyi
Habari za pilika ndugu zangu.
Nimerudi tena Ndugu zangu, bado sijapata kazi tangu niombe msaada humu ndani.
Leo naomba Mnisaidie walau majina ya viwanda vitoavyo kazi kwa hapa Dar es salaam Ili niweze kujaribu bahati yangu.
Hali ni mbaya Wakuu, nimebanwa na madeni kila kona.
Naombeni msaada
Habari ya Usiku Ndugu yangu wa JF.
Mimi ni kijana (me) nna Mke na mtoto Mmoja, naishi Dar es salaam. Ndugu yako/yenu nimeandamwa na Majukumu ya Kodi na pesa ya kulisha familia.
Shime naomba kwa yeyote mwenye kuguswa anisaidie Kibarua Ili nipate kuondokana na Msongo wa Majukumu.
La Kuna MTU...
Hodi na Salamu Members.
Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary.
Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na kwa mangi.
Nipo tayari kufanya Majukumu yoyote ilimradi yasikiuke Utu na sheria za nchi.
Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.