Recent content by i-77

  1. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoka kwa mwanadada huyu

    Umezingua big time siku ukija kupata Hawa wadada wa mjini utamkumbuka huyo mwanamke....na itakua umeshachelewa.
  2. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

    🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩🚩
  3. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

    Hii ngoma imefika patamu
  4. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    My guts inaniambia INSIDER MAN ukiacha mtoto na wife (junior) basi mtoto mwingine ni wa Iryn na yule mtoto wa tatu uliyesema unamtegemea ni kutoka kwa Mary.....well the story will prove Me wrong or otherwise.
  5. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Hiyo ni tafsiri yako wala sina haja ya kusoma tena maana uzi wako unaeleweka, zingatia msitari niliokwambia huelewi chochote how it feels to be a man....simba kula mtu sio habari ila mtu kula simba ni habari kubwa! Hakuna mtu atashangaa mwanaume kuwa na wake hata 10 ila ikitokea mwanamke kaolewa...
  6. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Kutongoza ni moja ya majukumu yetu huwezi hate mtu anatimiza wajibu wake na upo na haki ya kusema Yes au NO the choice is yours.....you don't get how it feels to be a Man so nakukumbusha tulia tu baki huko huko kwenye lane yako.
  7. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Ni sawa na mwanaume aanze kuelezea how it feels kuwa period kwa mwanamke kitu ambacho hata hajui kinafanaje trust Me hujui kitu kuhusu wanaume so tulia stay on your lane.
  8. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Hujawahi kuwa mwanaume si huwezi kuelewa namna wanaume wana behave kiufupi stay on your lane mengine achana nayo.
  9. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

    Kwenye kiwanja cha mwanamke siwezi hata kulima tuta la mchicha.
  10. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyofyeka shamba la nyanya ekari moja la jamaa aliyekuwa akinichapia mpenzi wangu

    Kuchapiwa ni Siri ya ndani
  11. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Kichwa chaki sidhani kama kina ubongo zaidi ya kuwa mfuko wa meno tu [emoji23]
  12. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Wanasahau the internet never forget [emoji23]
  13. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii simu ijae picha zangu tuuu

    Hilo la kujaa picha zake cha mtoto kubwa zaidi ni la kuwafokea wazazi na wageni waalikwa kuwa waache kelele[emoji23]
  14. i-77

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hatimaye ametiki

    Ulimla ? 😂😂
Back
Top Bottom