Recent content by hypothalamus

  1. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    bado hujanielewa!
  2. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    point yangu ni hivi kwenye sayansi hakuna 'authority' au 'prophet',haijalishi wewe ni nani au equations zako zinavutia kiasi gani wengine wanaweza kutafuta makosa kwenye theory zako kitu ambacho kwenye imani za Mungu hakipo,kanisa limeshawalisha matango pori watu karne kwa karne
  3. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    unapimaje hoja ya kisayansi ambayo si sahihi? huoni sayansi ni powerfull kwa sababu ina check and balance system inayoifanya ijikosoe hata yenyewe kitu ambacho kwenye hoja za Mungu hakipo?
  4. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    hizi hoja zilishapingwa na anthropic principle
  5. hypothalamus

    Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

    ili usolve hiyo paradox inabind utumie evolution theory,ambayo ina inainyima nguvu creation theory
  6. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    Je, una wasiwasi na usahihi wa hoja za kisayansi?
  7. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    Kila taarifa iliyopo kwenye subconscious mind yako ume itrain wewe aidha consciously au training ilifanywa na genome yako hakuna miracle hapo!
  8. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    I understand your point of view but if the universe is perfectly engineered(which I don't think is true), then the one who perfectly engineered it must be the work of a more advanced engineer right?
  9. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    swali langu la msingi lilikuw wewe umefahamu uwepo wa Mungu nje ya hizo senses 5? Subconscious mind una train wewe mwenyewe its just ni layer ya mind ambayo hauna direct access nayo,lakini information zinazo processiwa na subconsious mind umezipeleka mwenyewe na kama upo conscious enough...
  10. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    where on universe have you witnessed such phenomena?
  11. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    kwani wewe taarifa kuhusu Mungu umezipokea nje ya senses?
  12. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    Have you witnessed such phenomena in the universe?
  13. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    hizo sifa zilitengenezwa kipindi binadamu ana amini dunia ndio ipo centre ya solar system
  14. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    Then the designing of God must be very sophisticated! So who is the designer of God?
  15. hypothalamus

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    Chanzo cha Mungu ni nini?
Back
Top Bottom