Nikisukumwa na uhalisia katika jamii za kitanzania. Imekuwa ni desturi kutazama ajira kama mkombozi pekee baada ya kuhitimu ngazi fulani ya elimu hususani katika fani mbalimbali. Hii inatengeneza malalamiko yasiyo na suluhisho kila kukicha ilihali mtu anaweza akafikiri na kuelekeza msukumo zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.