Kimwili unaweza kuwa huna mia mbovu...ila kiroho you are very rich. Na unapotaka kumanifest kimwili pesa zionekane ...jamaa wanakua na Kazi ya kukupiga pin.
Sawa tu na , umekubaliwa kuanza Kazi shirika fulani , then siku ya kuattend...anatokea boya flani...anaupiga chini mchongo mzima
Oya..Nasemaje...Jina la YESU KRISTO ni jina zuri na tena ni jina kubwa kuliko majina yote.
Angalisho: Si vyema kulitaja jina hilo bure bure. Thibitisha KWANZA uchawi upo wapi hapa.....afu ndo ulitaje jina hilo!
Awareness Ndugu yangu. Nilikua sijui sasa nimejua. Wazee wenye Hekima husema " Ni vyema kula na adui yako , lakini si vyema kula chakula kilichopikwa na adui yako"
#Note: usithubutu kumfanya anayekupikia chakula kuwa adui yako.....wanaume wengi kwenye Ndoa ...huwa wanalishwa vyakula vyenye...
Kikubwa ...spirit yako ione ulichokifanya tu. Kwasababu hii ni spiritual war , sio physical battle. Ukiweka kwenye kitambaa (leso) then ukaweka mto juu yake...Sawa. Ukivitia ndani ya mto Sawa...vyovyote vile roho yako itakavyokuelekeza.
Cause Kazi kubwa ya roho...nikuufanya mwili utembee...
Your Intuition Is The Most Honest Friend That You Will Ever Have.
Your intuition can't lie to you
Nilikuaga na tabia ya kuandika ndoto kila siku....sasa kuna siku niliota naua nyoka sebuleni cobra...asee kweli bana baada kama ya wiki hivi wakati tumemaliza kula usiku....likatokea bonge la...
Awareness Ndugu. Unataka kusema wewe hapo ulipo huishi na mtu ambae ndani yako unajua kabisa hamuivi ..basi tu unaishi nae kiaina. Lakini kindani roho yako is not happy na yeye. Na hata akili yako inakwambia...sio mtu mzuri....
Huna hata jirani wa hivyo unataka kusema? Au mfanyakazi mwenzio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.