Waungwana kwa yeyote anaefaham wanapokopesha magari anielekeze,nahitaji kukopa gari ndogo ya cc 900au1000,mfano iwe passo,hits,Nissan cube,fun cargo au porte,!Nina biashara zangu zinahitaji mzunguko mrefu kwa siku hi yo Nikiwa na gar aina hiyo Nina imani itanirahisishia kupunguza gharama na...