Recent content by hussein netto

  1. H

    Nahitaji chumba cha biashara Mbezi

    Habari zenu ndugu wapendwa, Samahani kwa usumbufu wenu, nilikua naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia kupata frem ndogo kwa ajili ya biashara ya uwakala. Naombeni msaada wenu, kama kuna mtu anaweza nifanikishia swala hilo tuwasiliane kwa no 0717952252. Eneo husika ni Mbezi Mwisho.
Back
Top Bottom