Recent content by Hussein Massanza

  1. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya NBC PL iangaliwe upya

    Ujumbe umefika. Wahusika wamo humu pia.
  2. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Simba inadhaminiwa na GSM kimya kimya?

    Una akili sana dada kama umeolewa na una watoto basi jamaa amepata mke haswa na watoto mama wanae
  3. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Simba inadhaminiwa na GSM kimya kimya?

    Nimekuelewa kamaradi lakini soma vizuri mstari wangu wa mwisho umebeba ujumbe mzito!
  4. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Simba inadhaminiwa na GSM kimya kimya?

    Naanza kupata mashaka. Inawezekana Simba nayo inadhaminiwa na makampuni ya GSM kimya kimya. Kwanini kila wakicheza na Yanga wanafungwa? Hii ni mara ya nne mfululizo hawapati matokeo. Nasema hivi kwa sababu imejengeka dhana kwamba timu zote zinazofanya biashara na GSM zinagawa points kwa Yanga...
  5. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Massanza: Simba ni tawi la Yanga

    Au Simba nayo inadhaminiwa na GSM kimya kimya? Mbona inagawa points tu kwa Yanga
  6. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Majimaji FC
  7. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Muda wake bado
  8. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Asante kwa pongezi. Uwanja tunaoutumia sasa sio wetu ni mali ya CCM. Sisi ni wapangaji tu. Habari njema ni kwamba tupo kwenye hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa uwanja wetu wa kisasa ambao haupishani sana na Azam Complex. Ujenzi umefikia 75%
  9. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Naam. Kila kitu kwa kiasi.
  10. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Mpira una matokeo ya kikatili sometimes lazima tufariji watu wetu
  11. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu. Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
  12. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars tunatafuta vijana wa kuwasajili U20 na U17

    😀😀😀😀
  13. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars tunatafuta vijana wa kuwasajili U20 na U17

    Habari watu wa Soka Singida Black Stars tunatarajia kufanya majaribio ya kutafuta wachezaji vijana wenye vipaji mkoani Singida watakaounda timu zetu za SBS U-20 na SBS U-17. VIGEZO: 1. Ni lazima kijana awe mkazi wa Singida 2. Ni lazima kijana awe na umri kuanzia miaka 16 hadi 19 3. Ni...
  14. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Tuliitumia CECAFA kutambulisha wachezaji na kufanya mazoezi

    Unamchukuliaje Mwigulu? Unamjua vizuri?
  15. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Tuliitumia CECAFA kutambulisha wachezaji na kufanya mazoezi

    Timu yetu Sunzu
Back
Top Bottom