Recent content by hunter gereta

  1. H

    JamiiForums Tanzania Neno mpenzi wangu unalitamkaje kwa kiruga chenu?

    Standasam
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Ubongo ndo engine
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Hapo kwenye ubongo ndo kwenye shida pasipoandaliwa vizuri patabadilisha asali kuwa shubiri tamu yote ikaondoka nakuacha machungu kwa pande zote mbili so corporation ni kitu cha mcng
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Mapenzi ni hisia Yanashirikisha kila kiungo cha Mwili wako ubongo na vingine vyote sasa hapo kwenye ubongo kwa sisi wanaume kwenye shida pasipo andaliwa vizuri
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Sijasema i'm not responsible for her happiness
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Tambua kuwa mimi ninapopee mapema na hamu ya tendo kukata sikwamba nimerizika na mbaya zaidi roho itaniuma sbb najua kuwa hajarizika hapo ndo pabaya zaidi so tushirikiane ili kuzuia hii kitu kila mmoja atoke akiwa ameridhika
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    She is also responsible for my happiness especially on bed anatakiwa ajue hilo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Sijasema you are not responsible for her happiness especially on bed ila ushirikiano ni muhimu and she is also responsible for my happiness on especially on bed na ndo maana nikamuoa
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Sio kila kitu wewe si mwanaume bhana hatutafika ushirikiano ni kitu cha msingi sana otherwise utahisi mwanaume wako anatoka nje na ndo maana hamu na wewe hana tena kama amekukinai watu wanalamba mpaka nyayo bhana wewe ushawah kufanyiwa na mwanamke wako mafundi hao
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Just imagine umepee halafu amelala kisha mwanamke anakuangalia tu kana kwamba hajui chakufanya ili jogoo ainuke na mambo yaendelee wakati hata gari la manually likizima lasukumwa nakuwaka japokuwa battery low halistart lakin linafosiwa na kuwaka ndo utundu wenyewe huo sasa ingekuwa automatic pia...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    So matatizo au ubinafsi hauko kwetu tu hata wao wabinafsi wakutaka wewe ufanye kila kitu coz wewe ni mwanaume ujiandae umuandae yeye pia itawezekana vipi?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Wanawake wanachangia kiasi kikubwa kwa kutokuwa wabunifu kumbuka kuwa sisi ndo head of the states so vichwa vyetu vinamawazo lukuki ya kimaisha na mambo mbalimbali ya kipesa na mengneyo so tunahitaji ushirikiano wao ili tuweze kufanya vizuri ukikutana na mwanamke mtundu anayejua majukumu yake...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Mfano kuna jamaa alishawahi kunilalamikia kuwa akikutana na mchumba wake anacheza chini ya kiwango lkn akikutana na kimada wa nje anakuwa kama aliyebarehe juzi nikamuuliza tatizo nn akasema ni ushirikiano hafifu uliopo kwa mchumba ake na pia hakuna utundu so kuna sababisha akiingia tu hachukuwi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wabinafsi when it comes to sex

    Yeah kila mmoja anatakiwa atambue nafasi yakena jukumu lake kitandani kila mmoja amuhamasishe mwenzie kuhakiksha mawazo yke yanakuwa pale na hatimae kumpa kila anachostahili kupewa
Back
Top Bottom