Mbaya zaidi walivumilia miezi mi3 bila mshahara wakiambiwa kuwa mamlaka inatafuta hela imagine hii issue inetokea january miezi yenye shida na hela.. halafu wamewakata kisiasa
Kuna muda watu wanakosa hoja ba kutangaza chuki.. one step at a time. Huyo anaesema hivyo muulize angekua yuko nyumban then anaambiwa embu peleka CV sehem flan angekataa na kuanza kuuliza imetangazwa wapi? Hio barua yao watu wanaacha kuijadili wanajadili mimba na tangazo la kazi
Hujui kitu soma kidg HUTAKUFA UKIFUTA UJINGA NIDA KYLIKUA NA WAFANYAKAZI WA AINA MBILI WA KUDUMU(AMBAO NDO ZOEZI LA KUAJIRI LILIKUA LIMEANZA NA WENGI HATA MIEZI MI 5 HAWANA) NA WA MUDA.. NA WOTE WALIKUA WANAFANYA KAZI SAWA NA ZA AINA MOJA HATA HAO WALIOKUKWAZA WALIKUA EITHER WA KUDUMU AU WA...
LABDA..ila wananchi na nyie mnakera sana WAKATI MWINGINE SIKATAI KUNA CUSTOMER CARES WENGINE HAJIELWI ILA MTI ANASAVE WATU 100 MIN KWA SIKU KILA MTU ANAKUJA NA STRESS ZAKE SASA USIOMBEE UKUTANE NA MTEJA MWENYE NAMBA YA MENEJA HAPO NDO ANAWEZA AKAJA KUKUTUKANA.. NIDA INA NETWORK MBOVU MBOVU MBOVU...
Flora msofe ulisaka mimba kwa mtu wa NIDA ukakosa au? Yaan Mimba za NIDA zinakukera hahahah KUFWA FOR THEM(in lemutuz voice) huna hoja yenye mashikk umekazania Mimba Mimba.. yes ni watu wazima,wenye maamuzi yao na waliona Muda na wakati wa kuzaa umefika ulitaka wakazitoe? FYI ile ni jamii ya...
ALIEIUA NIDA NI KAIMU MKURUGENZI WA SASA! TANGU AMEINGIA NA AHADI ZAKE ZA KUZALISHA VITAMBULISHO VINGI KWA SIKU ULIZENI NDANI YA MWEZI KAZALISHA VINGAPI? MAMLAKA IMEKUA SEHEM YA KUTAFTIA SIFA, MNAWANYANYASA HAWA VIBARUA KWA SABABU MNAJUA WANA MAZITO YENU? MMEWAPELEKA NGUMU MKAWALAZA MAZINGIRA...
Kuna muda ifike mjue hata maana ya comment zenu.. kutangazwa kwa nafasi za kazi kunahusiana nin na kutokuliowa madai yao? jiulize je wanadai? je wanamikataba?mikataba knasemaje? Sheria ya kusimamishwa inasemaje?waliokula hizo hela ni wakina nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.