Recent content by humblemimi

  1. H

    Nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja

    Unaongea siasa. Kuna kata hazina hata kituo cha afya zaidi ya majengo tu. Kituo cha afya au hospitali unaipata km 100+ toka hapo katani.
  2. H

    Nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja

    ]Nilipo hospitali ni 106 km. Kuna zahanati hapa ambayo haina daktari zaidi ya afisa msaidizi wa afya.
  3. H

    Nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja

    Nilipo hospitali ni 106 km. Kuna zahanati hapa ambayo haina daktari zaidi ya afisa msaidizi wa afya.
  4. H

    Nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja

    Habari za majukumu wapendwa wana JF, Mimi nasumbuliwa na fangasi (kama utangotango/mba) katikati ya mapaja, kulikopelekea sehemu hiyo kuwa nyeusi sana. Fangasi hizo haziwashi bali zinakuwa kama unga unga, yaani kama ngozi inababuka, lakini haiwashi wala kutoa harufu. Moderators kama naruhusiwa...
  5. H

    Hodi wandugu...

    Natumai kwa neema ya Mungu nyote mu wazima. Nimekuwa msomaji wa JF kwa miaka 4 sasa bila kujiunga. Leo nimeamua kujiunga ili noweze kuchangia mawazo yangu na uelewa wangu kwenye mada mbalimbali kadri Mwenyezi Mungu atakavyoniongoza. Naomba ushirikiano wenu wanajukwaa. Mungu awabariki sana.
Back
Top Bottom