Utangulizi
Watoto wa kike nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika safari yao ya maisha. Changamoto hizi huanzia chini kabisa kwenye malezi na ukuaji wao na huzidi kuibuka kadiri wakuavyo katika nyanja mbalimbali kama elimu, jamii, uchumi, na uongozi. Hali hii hupelekea...
Utangulizi
Kilimo ni sekta muhimu sana katika uchumi wa Tanzania. Sekta hii huchangia takribani 27.6% ya pato la Taifa (GDP) la Tanzania, ikithibitisha umuhimu wake mkubwa kiuchumi (Benki ya Dunia, 2020). Kilimo pia huajiri takribani 65% ya nguvu kazi ya nchi, hasa katika maeneo ya vijijini...
Utangulizi
Sekta ya afya ni miongoni mwa sekta muhimu sana katika maendeleo ya kitaifa na ustawi wa jamii nchini Tanzania. Sekta hii hugusa maisha ya mtanzania mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, na kwasababu hio ili kujenga taifa bora hatuna budi kuboresha sekta ya afya nchini.
Miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.