Recent content by Huduma Pendwa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tunapomshangilia Tundu Lissu tusisahau kuwa hakujiandaa kuwa Mwenyekiti ila alikasirishwa tu na Wenje Kugombea Umakamu Mwenyekiti!

    TAL ameupiga mwingi sana kwa kutojiandaa kuwa M/Kiti. Hakika, kama angejiandaa, leo asingekuwa M/Kiti.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

    Msamehe bure tuu. Siyo kwa risiti hii. Hakika, umemuumbua mpaka siyo poa.
  3. H

    JamiiForums Tanzania James Mbowe: Mambo ni mawili tu, mosi Box la Kura litaamua nani aongoze Chama na pili Baada ya Matokeo Marufuku kuhama Chama

    Wakati wa chaguzi za 2019 na 2020, watu walikuwa wanasema ya moyoni kutokana na matendo ya chaguzi. Baada ya muda, baadhi walianza kuropoka yaliyofanyika sirini, mmoja baada ya mwingine.
  4. H

    JamiiForums Tanzania James Mbowe: Mambo ni mawili tu, mosi Box la Kura litaamua nani aongoze Chama na pili Baada ya Matokeo Marufuku kuhama Chama

    Muda ni msema kweli. Tuupe muda nafasi, mbivu na mbichi zitajulikana.
  5. H

    JamiiForums Tanzania James Mbowe: Mambo ni mawili tu, mosi Box la Kura litaamua nani aongoze Chama na pili Baada ya Matokeo Marufuku kuhama Chama

    Kabisaaaa....?!!!! Nadhani akaunti yako itakuwa imehakiwa. Hivi siyo Viwango vyako.
  6. H

    JamiiForums Tanzania James Mbowe: Mambo ni mawili tu, mosi Box la Kura litaamua nani aongoze Chama na pili Baada ya Matokeo Marufuku kuhama Chama

    Mkuu Lusungu, kwa heshima na taadhima, ni sahihi kwako kuona Wanachama wa CCM hapa JF wakimpigia chapuo Mbowe?!!! Huoni kwamba kuna kitu hakipo sawa? Busara yangu inaniongoza siku zote mpinzani wako akikusifia, ujue kuna mahali umekosea na ni kwa faida yake siku zote.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Nyakati nyingine, tuache Demokrasia ishike hatamu. Kwa nini Mtu aonekane kufika bei kwa kutia nia ya kugombea nafasi ya M/Kiti kipindi cha kuelekea kwenye Uchaguzi?!!!
  8. H

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Yaani, mtu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti tayari anageuka na kuwa kirusi?!!!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Hapa, umeanza kuongea point na kuona shida Iko wapi badala ya kumshambulia Mleta Hoja ambaye amejenga Hoja yake kupitia taarifa zinazopatikana MCT na amelisema hili tangu mwanzo na mara kwa mara. Shida kubwa, ni watu kuhemka kisa tuu anayeongelewa ni Prof aliyependekezwa kuiwakikisha Nchi...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Kwa mujibu wa taarifa ya MCT na CV zilizoletwa humu, Degree ya Pili siyo ya Udaktari/Dawa ( Masters of Medicine - MMED). Ndiyo msingi wa Hoja.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Nami naungana naye ya kwamba, kwa mujibu wa taarifa na CV zilizoletwa humu, Prof siyo Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo wala kitu chochote kwa sababu anakosa sifa za kuwa Mbobezi. Labda kama kuna taarifa (CV) nyingine mbali na hizi zilizoletwa hapa.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mkuu, acha kisirani. Ni vizuri ukajikita katika kuonyesha Ubobezi wa Prof kwenye Magonjwa ya Moyo kuliko kumshambulia mtoa mada. Hata hivyo, binafsi nampongeza sana Marehemu Dkt. Ndugulile kwa kuwa Game Changer kiasi kwamba sasa, kila Daktari ameona fursa ya WHO. Najiuliza, walikuwa wapi kabla?!!!
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Binafsi, nimekuwa nikimtambua kama Daktari Bingwa/Mbobezi wa Moyo. Na wengi wanamtambua hivyo na ndiyo maana, wengi wamehamaki na Hoja iliyoletwa, kwamba, Prof siyo Daktari Bingwa wa Moyo.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Asante sana kwa ufafanuzi. Namna hii, tutafika nchi ya ahadi tukiwa na afya zetu zote kabisa. Kwenye CV za Prof zilizoletwa JF, zinaonyesha amesoma MSc (Tropical Health) ambayo anasoma mtu yeyote na kwamba hajasoma MMED (Internal Medicine) inayompa sifa ya kuwa Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Hakuna mahali anaruka viunzi. Hoja hujibiwa kwa Hoja, na siyo vinginevyo. Kwenye hili, Mleta mada Hoja zake zinaeleweka kwa nini anasema Prof siyo Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo. Shida, wewe na wengine, tumehamaki na kumshambulia Mleta Uzi badala ya kujibu Hoja zake kwa Hoja.
Back
Top Bottom