Recent content by htawah

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku zinakimbia sana

    Kutokea mnamo miaka ya 2000 mpka mwaka huu ambao tupo sasa, watu wengi wamekuwa wakilalamika kwa kusema kuwa siku zinakimbia sana, naomba unipe sababu za kisomi kusapoti hoja ya kuwa siku zinakimbia sana na kama haukubaliani pia naomba sababu za kisomi.
Back
Top Bottom