Siku nyingi sija comment humu, lakini nina kaujumbe ambako wengi mumekazoea na mnakachukulia poa, na bado sitoacha kukasema tena na tena. “Kila mmoja wetu humu, bila kujali anapitia magumu kiasi gani, siku yake ya kuyavuka ipo na inakuja.”
Mtapata ajira, tena kwa wakati sahihi. Sio wakati ambao...
Kitu kikubwa naweza nikatoa ushuhuda hata mahakamani ni kwamba ukiwa mchangiaji kwa kusaidia watu kwa namna yoyote kwenye huu uzi, uwezekano wa Mungu kusikia maombi yako ya placement unaongezeka.
Huu uzi unabaraka ndugu zangu.
Prof. Kwa macho yangu nimeshuhudia watu wameandaa party ya ghafla ili kusherehekea kuingia kwenye mzinga wa asali.
Maana TRA ni mzinga wenyewe, kwa sababu kazi ya hawa maafisa ni kucheza na nyuki moja kwa moja, na sio pipa la asali.
Japo dogo langu aliambiwa irrelevant qualifications pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.