Salam wanajukwaa,
Hivi karibuni Serikali kupitia UTUMISHI wametoa waraka mpya unaofanya marekebisho ya kimuundo na mishahara kwa baadhi ya kada ikiwemo Afisa Rasilimali Watu na Maafisa Tawala.
Kwa mujibu wa waraka huo mpya, kwa sasa Maafisa Tawala na Maafisa Utumishi mfano waliopo Wizarani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.