Recent content by HR CLEANERSGROUUPTANZANIA

  1. HR CLEANERSGROUUPTANZANIA

    Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    an anaetaka kuoelewa aje kwangu kazi yangu ni msimamizi wa kampuni ya ulinzi yaani kk security t limited a Gardaworld company umri miaka 26 nina mtoto mmoja dini mkristo karibu mke mtarajiwa
  2. HR CLEANERSGROUUPTANZANIA

    Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    pamoja na nahayo dada yangu namna wanavvyojiweka ndugu zetu kuolewa ni ngumu hata mimi ukiniambia nikamuoe wema itakuwa ngumu kwasababu kila mwanamume unajua kwamba katembea nanani sasa ukimuoa hamna heshima ndani ya nyumba
  3. HR CLEANERSGROUUPTANZANIA

    Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    ila dada zetu mtulie sasahivi ndoa ngumu jamani
  4. HR CLEANERSGROUUPTANZANIA

    Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    ndugu samahani naweza kutoka nje ya mada
  5. HR CLEANERSGROUUPTANZANIA

    Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    kuna makabila ila sitaki kusema kwa sababu mw.nyerere alikataza yani ukioa uwe moyo wa chuma wanaongea unaweza ua mtoto wa mtu
  6. HR CLEANERSGROUUPTANZANIA

    Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    sema jamani wanawake tukishaoa mnapasua kichwa tatizo sisi wanaume tunapenda kujionesha kwa ndugu na marafiki tunaacha wanawake wenye tabia njema wenye sura mbaya na shepu mbaya tunaenda kuoa wanawake wenye sura nzuri shepu nzuri tabia mbaya baada ya ndoa anaaigiza kama malaika sasa ngoja ipite...
Back
Top Bottom