Recent content by Hosea Jeremiah

  1. H

    Majibu ya Zitto kwa JK yaleta utata mwingine

    Mungu maisha haya mpaka lini? Tuna macho hatuoni, tuna masikio hatuelewi. Tumesikia maelezo ya mkuu wa kaya, binafsi sijaona maumivu, machungu usoni pake kwamba nchi inateketezwa kwa uroho na ubinafsi wa kundi dogo, kweli unaongelea wizi wa mabilioni unacheka? Kama hivi umeletewa mbuzi wa...
  2. H

    Mnyaa: Ipo Kazi Kuing’oa CCM

    Mpango mzima nikuikataa rasimu ya katiba, bila hivyo watanzania tutazidi kuchezewa kama mazuzu na familia za watawala..1. Unafiki kuhusu aina gani ipi ya muungano tuufuate, nimewasikia watu wenye busara zao, wakishindana kwa jazba mate yakiwatoka, ni aina ipi ya serikali tuufuate? Jibu la watu...
  3. H

    Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

    Tukiongelea Mikoa, miji au vitongoji tunakosea. La msingi ni watanzania wamekifika vipi na uongozi uliopo madarakani. Ukisikia maoni ya walio wengi hawahitaji vyama ila wanamlilia Mungu awape kiongozi atakayewaondoa watanzania katika hali hii ya umasikini, njaa na umauti uliotukumba watanzania...
Back
Top Bottom