Recent content by Hopper lyfer

  1. H

    SoC04 Uboreshaji wa Sekta ya Afya kufikia Tanzania tuitakayo

    Ili Mwanadamu yoyote aweze kufanikiwa na kupiga hatua katika nyanja mbalimbali lazima awe na afya iliyo imara na Njema, hivyo Afya ni suara Muhimu Kwa Taifa lolote lile. Katika kuifikia Tanzania tuitakayo katika suala la Afya lazima tufanye na tuongeze vitu vifuatavyo 1: UONGEZAJI WA HOSPITALI...
  2. H

    SoC04 Tanzania tuitakayo kwenye sekta ya elimu miaka ijayo

    Elimu ni Moja ya sekta nyeti sana na yenye umuhimu sana Kwa Taifa lolote lile linalohitaji kupiga Hatua ya kimaendeleo kutoka Hatua moja kwenda Hatua nyingine,na elimu hiyo inatoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine Kwa kutumia maarifa waliyoyapata au kufundishwa kwa kuyasambaza maarifa hayo...
  3. H

    SoC04 Kufikia Tanzania tuitakayo: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi na Matumizi mazuri ya Rasilimali

    Tanzania Ni Nchi ambayo imebahatika kuwa na Kila kitu hivyo 1: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inatumia demokrasia katika kuongoza, hivyo viongozi wanaichaguliwa ni vizuri wakawa wawajibikaji zaidi na kuwa wabunifu katika kuhakikisha Wanatenda vyema Yale yote...
  4. H

    SoC02 Elimu

    Elimu ni ile hali ya kusambaa kwa maarifa,akili,ubunifu,uwezo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwengine, au kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine. Pia Elimu ni msingi mkuu wa maendeleo katika kila shughuli husika katika nchi yetu, kwani kupitia elimu tunaweza kupata wataalamu wa...
Back
Top Bottom