Recent content by honeybaja

  1. honeybaja

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Nashukuru..sana kwa ushauri
  2. honeybaja

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Habari wadau nilete mrejesho kwanza.nimefanikiwa kupata ardhi maeneo ya kongowe ya kibaha .niaa ni kulima tunda jamii ya tikiti. Nimesitisha zoez kwasabab ya hii mvua.ila wadau ninapata changamoto ,kwanza am fresh from school hivyo Nina mtaji tu na sina kipato kingniee tegemezi. Sasa walio...
  3. honeybaja

    JamiiForums Tanzania Msaada wa CBA & Master plan

    Habari zenu jamani ,naomba mwenye kuwa nayo CBA na Master plan ya zao la tikiti maji anisaidiee .nipate muongozo ktk hili
Back
Top Bottom