Recent content by Honestman2015

  1. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki Wa Longterm Relationship.

    Habari Natafuta Rafiki Wa Kike Mwenye Mategemeo Ya Kuoana Baadae.Sina Ubaguz Wa Aina Yoyote.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanamke unaetaka kuolewa mume huyo hapa

    Habari wana Jamii forums. Mimi ni mwanaume,naish Dar es salaam nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa hizi: Elimu degree ya pili,mrefu kiasi,mnene kiasi,rangi yoyote,anaeishi Tanzania, umri 29-37,mwenye sifa hizo ni PM tupeane mawasiliano tayari kwa maandalizi. Karibu sana tuanze maisha.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwaminifu wa kuoa alie tayari kuolewa

    Jinsia yangu ni mwanaume Ninaeishi Dar es salaam,Elimu yangu ni Chuo ,ni mwajiriwa.natafuta mke wakuoa Mwenye sifa Zifuatazo: -Mweupe -Elimu -chuo Kikuu -Amejiajiri/kuajiriwa -Umri 20-32 -Asiwe anatumia kilevi -Mwenye hofu ya mungu.karibuni sana
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Mimi Ni Mwanaume,Natafuta Mke Wa Kuoa,
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke Wa Kuoa Awe Na Umri Kuanzia {25-32}

    Uki Pm nitumie Email yako Au namba ya Mawasiliano.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke Wa Kuoa Awe Na Umri Kuanzia {25-32}

    Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 32.Wasifu nilonao: >Elimu yangu nina shahada ya kwanza ya uhasibu. >Nimwajiriwa. >Dini mkristu(RC). >Sijawahi kutumia kilevi chochote. >Sina mtoto. >Nimaji ya kunde. >Nina hofu ya Mungu. >Napenda Kusikiliza nyimbo za Dini. Mwanamke ni Mtafutae awe nasifa...
Back
Top Bottom