Recent content by HOMEX DESIGN

  1. HOMEX DESIGN

    Vyumba vinne

    Master bedroom ipo. Ktk vyumba vinne, vitatu vina vyoo ndani na kimoja ndo hakina. So ukijumlisha na public toilet nyumba inakuwa na JUMLA ya vyoo vinne.
  2. HOMEX DESIGN

    Vyumba vinne

    Nyumba ya vyumba vinne, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani yake na nyenginezo, ujenzi nk. tuwasiliane kwa namba 0719086787
  3. HOMEX DESIGN

    Ramani, Ujenzi na Ushauri

    Vyumba vitatu (kimoja master, viwili single), sebule, dining, jiko na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi na ushauri kuhusu ujenzi tuwasiliane 0719086787, Whatsapp & calls
  4. HOMEX DESIGN

    Ramani, Ujenzi na Ushauri

    Yana umuhimu, kwa kuwa madirisha yake ni madogo (membamba) ndo maana yamekuwa mengi ili kupitisha mwanga na hewa ya kutosha. Na hiyo ndo design yake
  5. HOMEX DESIGN

    Ramani, Ujenzi na Ushauri

    Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self na kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane kwa namba 0719086787 Whatsapp and calls Location: Tegeta A, Goba, Dar es salaam
  6. HOMEX DESIGN

    Ramani, Ujenzi na Ushauri

    Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self, kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane 0719086787... Whatsapp & calls
Back
Top Bottom